📌 Huduma ya Kutengeneza Lipa Namba (Vodacom M-Pesa)
Tunasaidia wafanyabiashara kupata Lipa Namba (Merchant Number) kwa ajili ya kupokea malipo kwa urahisi na usalama kupitia M-Pesa.
✅ Vigezo vinavyohitajika:
1. Namba ya NIDA – lazima uwe na kitambulisho cha taifa (NIDA).
2. Namba Mpya ya Voda – sajili namba mpya ya Vodacom, usiiwezeshe huduma ya M-Pesa.
3. TIN Number – uwe na namba ya utambulisho wa mlipakodi (TRA).
4. Namba Mbadala ya Vodacom – hakikisha una namba nyingine ya Voda kama namba ya dharura.
Kwa maelezo zaidi tuma ujumbe; info@mcmtz.shop
💡 Karibu Tukusaidie kupata Lipa Namba yako kwa urahisi, bila usumbufu, ili biashara yako iwe na njia ya kisasa na rahisi ya kupokea malipo kutoka kwa wateja.














Reviews
There are no reviews yet.