🔹 Huduma ya Maombi ya TIN Number – TRA 🔹
Tunatoa huduma ya kukusaidia kupata TIN Number kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa urahisi na haraka. TIN Number ni namba muhimu ya utambulisho wa mlipakodi inayohitajika katika shughuli nyingi za kibiashara na kifedha.
Huduma zetu zinajumuisha:
✅ Maombi mapya ya TIN Number kwa mtu binafsi au kampuni
✅ Usaidizi wa nyaraka zinazohitajika
✅ Ushauri kuhusu masharti na taratibu za TRA
✅ Kufuatilia mpaka cheti cha TIN kitoke
Kupata TIN Number ni hatua muhimu kwa:
-
Kufungua akaunti ya biashara benki
-
Kupata leseni ya biashara
-
Kushiriki zabuni au mikataba ya kibiashara
-
Kufanya biashara kwa kufuata matakwa ya kisheria











Reviews
There are no reviews yet.