🔹 Huduma ya Maombi ya Cheti cha Kuzaliwa – RITA 🔹
Tunatoa huduma ya kusaidia wateja kufanya maombi ya vyeti vya kuzaliwa kupitia RITA (Registration Insolvency and Trusteeship Agency) kwa urahisi na haraka. Kupitia huduma hii, tunakusaidia hatua kwa hatua hadi upate cheti chako halali.
Huduma zetu zinajumuisha:
✅ Maombi ya cheti cha kuzaliwa kipya
✅ Maombi ya nakala ya cheti kilichopotea/kilichoharibika
✅ Uboreshaji wa taarifa (kama jina au tarehe ya kuzaliwa)
✅ Ushauri na msaada katika kujaza fomu na nyaraka zinazohitajika
Kumbuka Ada ya RITA Ni Tsh 20,000, inalipwa kwa control Number
Kupata cheti cha kuzaliwa ni muhimu kwa matumizi mbalimbali kama vile elimu, ajira, mikopo, bima na hata kupata hati ya kusafiria (passport).











Reviews
There are no reviews yet.