🔹 Huduma ya Usajili wa Jina la Biashara – BRELA 🔹
Tunatoa huduma ya kusajili jina la biashara kupitia BRELA kwa urahisi na haraka. Kupitia huduma hii, utapata jina la biashara lililoidhinishwa kisheria na lenye kutambulika rasmi, hivyo kurahisisha shughuli zako za kibiashara na kuepuka usumbufu wa kisheria.
✅ Usajili wa jina jipya la biashara
✅ Uhakiki wa majina yanayopatikana (Name search)
✅ Kupata cheti cha usajili kutoka BRELA
✅ Ushauri kuhusu taratibu nyingine za kisheria baada ya usajili
Kumbuka ADA ya BRELA ni Tsh 20,000, inalipwa kwa Control Number
Kusajili jina la biashara ni hatua ya kwanza muhimu ya kujenga biashara halali na yenye heshima mbele ya wateja na mamlaka za serikali. Kwa maelezo zaidi tuma ujumbe; info@mcmtz.shop













Reviews
There are no reviews yet.